Advertisement

Breaking

Tuesday, September 13, 2016

Perfect Combo ya Joh Makini yapata Shavu kwenye Top 10 ya redio Nigeria

Ni ukweli usiopingika kwa sasa muziki wa Bongo unazidi kutoboa kwenye nchi nyingi barani Afrika.Joh Makini ni mmoja kati ya wasanii kutoka Tanzania wanaofanya vizuri kwenye redio na TV za nje huku akiwa na rekodi ya wimbo wake wa ‘Nusu Nusu’ kuwahi kushika namba moja mwezi Julai mwaka jana kwenye chati za runinga ya MTV Base.

No comments:

Post a Comment

Sponsor