Advertisement

Breaking

Saturday, September 24, 2016

Zari asherehekea Birthday yake visiwani Zanzibar

Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu.
Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo. Kwenye sherehe hiyo pia waliongozana na mtoto wao Princes Tiffah.

No comments:

Post a Comment

Sponsor