Advertisement

Breaking

Sunday, October 16, 2016

Mbwana Samatta atajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika

Mshambuliaji wa Taifa Stars na klabu ya K.R.C. Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta, ametajwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa shirikisho la soka barani Afrika, CAF.Majina hayo 30 yametangazwa jana Jumamosi  kupitia tovuti ya shirikisho hilo la soka barani.

No comments:

Post a Comment

Sponsor