Advertisement

Breaking

Thursday, September 8, 2016

Nuh Mziwanda akiri kuwa 'Jikeshupa' imempa Shavu

Nuh Mziwanda amesema wimbo wake Jike Shupa aliomshirikisha Alikiba, umekuwa na mafanikio makubwa kuliko zote alizowahi kufanya huku video yake ikiwa imetazamwa kwa zaidi ya mara milioni moja na laki tatu.

“Wimbo huu umeniletea mafaniko makubwa kuliko nyimbo zangu zote nilizoweza kufanya,”alisema Nuh.

“Pia tayari nina studio yangu ambayo ndio kitendo kikubwa katika maisha yangu nilikuwa na kitaka kuna mchango pia wa kaka yangu katika hii studio nawaza pia kuja kuwa na wasanii wangu, producer atakuwa ni Nusder ambaye ameshafanya nyimbo nyingi,” aliongeza.

No comments:

Post a Comment

Sponsor