Advertisement

Breaking

Thursday, September 8, 2016

Ray C aonyesha muonekano wake mpya.........Mashabiki Wampa Ushauri Mzito

Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameonyesha picha yake ya kwanza toka asaidiwe na jeshi la polisi miezi michache iliyopita baada ya kudaiwa kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya.

Jumatano hii muimbaji huyo aliwaonyesha mashabiki wake muonekano wake mpya hali ambayo imewafanya mashabiki kumtaka kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya kwa kuwa amekuwa akisaidiwa mara kadhaa kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya lakini yeye amekuwa akirudia.
 

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wake.


No comments:

Post a Comment

Sponsor