Aliyejifanya Usalama wa Taifa Ahukumiwa Miaka Miwili Jela Mina Ashelly 10:54:00 PM Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Seleman Manoti, kifungo cha miaka miwili jela kwa kupatikana na hatia ya kujifanya usalama wa Tai... Continue Reading
Mahakama Yaitupilia Mbali Kesi Ya Mbowe Hotels Dhidi Ya Shirika La Nyumba La Taifa (NHC ) Mina Ashelly 6:48:00 AM Mahakama kuu kitengo cha Ardhi imetupilia mbali kesi ya maombi ya kurejea katika jengo iliyokuwa ofisi ya Tanzania Daima pamoja na ukumbi... Continue Reading
Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma Mina Ashelly 9:58:00 PM Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjiniDodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udon... Continue Reading
Maamuzi ya Umoja wa Ulaya Baada ya Burundi kujitoa Mahakama ya ICC Mina Ashelly 9:54:00 PM Siku chache baada ya Burundi kutangaza maamuzi ya kujitoa kwenye Mahakama ya makosa ya uhalifu ICC, Umoja wa Ulaya umetangaza kuitenga ... Continue Reading
Mashahidi Kesi ya Ester Bulaya wapunguzwa Mina Ashelly 12:22:00 AM Mashahidi wa pande zote mbili katika kesi ya kupinga ushindi wa Ester Bulaya katika uchaguzi wa mbunge wa Jimbo la Bunda wamepunguzwa na ... Continue Reading
Adhabu ya Kunyongwa : Wafungwa 472 wasubiri hatma yao kutoka kwa Rais Magufuli Mina Ashelly 5:22:00 AM Watu 472 waliohukumiwa adhabu ya kifo kutokana na makosa mbalimbali, wanasubiri saini ya Rais Dk. John Magufuli ili kujua hatima ya uteke... Continue Reading
Aliyetaka Mwamunyage apindue nchi ashinda kesi Mina Ashelly 10:01:00 PM Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) cha mkoani Arusha, Allan Mbando, ameibwaga Serikali katika kesi ya ku... Continue Reading
Mahakama yakana kuitambua kampuni iliyotumiwa na NHC kumtimua Mbowe Mina Ashelly 11:01:00 PM Mahakama Kuu imekana kuitambua kampuni ya Fosters Auctioneers and General Traders iliyohusika kuondoa vitu vya kampuni za Freeman Mbowe kw... Continue Reading
Mahakama ya Kisutu yamtaka Mhe.Tundu Lissu kufika mahakamani kujieleza kwa nini asifutiwe dhamana. Mina Ashelly 12:53:00 AM Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemtaka mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA, Mhe.Tundu Lissu anayekabiliw... Continue Reading
Kutoka Mahakamani: Zombe Aachiwa Huru, Mwenzake Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Mina Ashelly 5:24:00 AM Mahakama ya Rufani imemhukumu kunyongwa hadi kufa aliyekuwa Mkuu wa upelelezi wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Mrakibu wa Polisi (SP) Chri... Continue Reading