Ajali Mbaya ya Noah na Lori la Mizigo Yaua watu 17 Mkoani Shinyanya Mina Ashelly 6:00:00 AM Watu 17 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye n... Continue Reading
Taarifa Kuhusu taharuki ya Moto uliolipuka kwenye bandari ya Dar es salaam Mina Ashelly 10:28:00 PM Jana Nov 1 2016 katika Bandari ya Dar es salaam kulitokea moto ambao ulizua taharuki kwa baadhi ya wafanyakazi na watu wengine waliokuwa ... Continue Reading
Basi La Abiria Lateketea Kwa Moto Kimara Stop Over Jijini Dar......Mtu mmoja Afariki, 16 Wajeruhiwa Mina Ashelly 10:05:00 PM Basi lenye namba za usajili T990 AQF mali ya kampuni ya Safari Njema liililokuwa likitokea Dodoma kuja jijini Dar, jana liliteketea kwa M... Continue Reading
Basi la Hood lagongana na lori na kupinduka kwenye mlima Kitonga Mina Ashelly 11:25:00 PM Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mko... Continue Reading
Kikosi Kazi Cha Jeshi La Wananchi (JWTZ) Cha Wasili Kagera Kwa Ajili Ya Kujenga Miundombinu Iliyoathiriwa Na Tetemeko La Ardhi Mina Ashelly 11:06:00 PM Kikosi kazi cha jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)kutoka makao makuu ya Jeshi kimewasili Mkoani Kagera kwaajili ya ujenzi wa miundombin... Continue Reading
Basi la Barcelona Lapata Ajali na Kuua Watu 10 Mkoani Lindi Mina Ashelly 10:01:00 PM Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Sal... Continue Reading
Sababu kifo cha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Dodoma Mina Ashelly 10:00:00 PM Mashuhuda wa ajali iliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Salome Kiwaya wamesema ali... Continue Reading
Basi la Super Shem Lapata Ajali na Kuua watu 11 Jijini Mwanza Leo Mina Ashelly 12:54:00 AM Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa Mwanza ... Continue Reading
Taarifa ya Waziri Mkuu kuhusu maafa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi mkoani Kagera Mina Ashelly 2:48:00 AM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 17 Septemba, 2016 amepokea taarifa ya maafa yaliyosababish... Continue Reading
Ajali yaua Wanne na kujeruhi sita katika Basi la JM Luxury Mina Ashelly 10:49:00 PM WATU wanne wamekufa huku sita wakijeruhiwa katika ajali ya basi, lililogonga lori katika eneo la njiapanda ya Kolandoto mkoani Mwanza. ... Continue Reading