TAKUKURU Yajitosa Kuchunguza Tuhuma za Wabunge wa CCM Kuhongwa Milioni 10 Mina Ashelly 9:18:00 PM Taasisi ya Kuzuia na Kupambanana Rushwa (Takukuru) imeanza kuchunguza tuhuma zilizoibuliwa Bungeni kuwa Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (C... Continue Reading
Watiwa Mbaroni Kwa kuvujisha mtihani FEKI wa kidato cha nne Mina Ashelly 1:58:00 AM Walimu wa Shule ya Sekondari Hasanga, iliyopo wilayani Mbozi mkoani Songwe na wafanyabiashara wawili, wanahojiwa na vyombo vya usalama mk... Continue Reading
Askari watatu wafukuzwa kazi mkoani Mwanza Mina Ashelly 1:57:00 AM Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limewafukuza kazi askari watatu kwa tuhuma za kukiuka maadili ya kazi ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ut... Continue Reading
Ufisadi Wagubika Shirika la Posta.....Bodi Yabaini Mikataba Mibofu, Rushwa na Upendeleo katika Ajira Mina Ashelly 10:29:00 PM Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC) imebaini madudu lukuki, ikiwamo mikataba mibovu, idadi kubwa ya wafanyakazi wenye ... Continue Reading
Bunduki 11 za Ujangili zakutwa nyumbani kwa Mbunge Mina Ashelly 11:23:00 PM Kasi ya kupambana na ujangili iliyoongezwa na Rais John Magufuli imeendelea kuzaa matunda huku Kikosi Kazi Maalum kilichoundwa kikiripoti... Continue Reading
Serikali Yawatumbua Watumishi 1663 Kwa Kuzalisha Watumishi Hewa Mina Ashelly 10:29:00 PM Na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Dodoma Watumishi wa Umma 1,663 kutoka Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala za Serikali, Sekretarieti za M... Continue Reading
Jina la Paul Makonda latumika kutapeli wageni..... Jeshi la Polisi latoa tahadhari Mina Ashelly 12:18:00 AM Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es-Salaam limetoa tahadhari kwa wakazi wa kanda hiyo pamoja na wageni kutoka nje ya mkoa wa Dar es S... Continue Reading
Breaking News: Bondia Thomas Mashali Auwawa, Mwili Wake Waokotwa Vichakani Dar Mina Ashelly 2:59:00 AM Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taari... Continue Reading
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa baada ya Mtu Mmoja Kuuawa kwa Risasi Nje ya Ubalozi Huo Mina Ashelly 2:03:00 AM Jeshi la Polisi jijini Nairobi nchini Kenya linafanya uchunguzi kuweza kubaini kama mtu mmoja aliyeuawa jana karibu na ubalozi wa Mareka... Continue Reading
Aliyejifanya Usalama wa Taifa Ahukumiwa Miaka Miwili Jela Mina Ashelly 10:54:00 PM Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Seleman Manoti, kifungo cha miaka miwili jela kwa kupatikana na hatia ya kujifanya usalama wa Tai... Continue Reading
Mtoto atekwa, gari laibwa Mina Ashelly 1:01:00 AM Mtoto wa miaka mitatu wa askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Kapteni Innocent Dallu ametekwa na watu wasiojulikana baada ya mzazi huyo ku... Continue Reading
Scorpion afunguliwa mashtaka upya Mina Ashelly 12:55:00 AM Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfungulia mashtaka mapya Salum Njwete (Scorpion).Amefunguliwa mashtaka mengine yanayofanana na ya awali y... Continue Reading
Jambazi Awajeruhi Kwa Bomu Askari na Raia Wanne Kigoma Mina Ashelly 10:00:00 PM Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoa... Continue Reading
Majibu ya Daktari: Kijana Said Ally Aliyetobolewa Macho Na Scorpion Hawezi Kuona Tena Mina Ashelly 9:57:00 PM Na Dotto Mwaibale MAJONZI na vilio vilitawala ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati Kijna Said Mrisho anayedai... Continue Reading
Mtoboa Macho alishinda milioni 20 za Dume Challenge, mshiriki mwenzake amwelezea alivyomfahamu Mina Ashelly 9:19:00 PM Wiki hii, habari kubwa nchini ilikuwa ni tukio la mfanyabiashara, Said Ally kutobolewa macho, usiku katika maeneo ya Buguruni Sheli jij... Continue Reading
Mrembo Amber Lulu Adaiwa Kukamatwa na Madawa ya Kulevya..Marafiki zake Wamkana Live Mina Ashelly 9:19:00 PM Mwanadada mrembo ambae amejipatia umaarufu mkubwa siku za karibuni kwa kutokea katika videos kadhaa za Bongo Fleva Amber Lulu inasemekan... Continue Reading
Scorpion ‘Mtoboa macho’ Apandishwa Kizimbani .........Anyimwa Dhamana, Apelekwa Rumande Mina Ashelly 10:15:00 PM Mkazi wa Machimbo Yombo jijini Dar es Salaam, Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala ... Continue Reading
Kauli ya Makamu wa Rais kufuatia mauaji ya watafiti wawili na dereva wao waliouawa kwa kuchomwa moto Mina Ashelly 5:34:00 AM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelaani vikali mauaji ya watafiti wawili wa kituo cha Utafiti wa... Continue Reading