Aunty Ezekiel amtemea ‘cheche’ Wema Sepetu Mina Ashelly 9:36:00 PM Hali hiyo imetokea baada ya Aunty kuweka picha ya kumtakia siku njema ya kuzaliwa rafiki na msanii mwenzake, Maimartha Jesse kwa kuandik... Continue Reading
Diva Loveness Amtaka Kiba Abadili Gilfriend...Adai Jokate Anamtia Gundu Mina Ashelly 5:17:00 AM Mtangazaji wa Ala za Roho kipindi kinachorushwa na Clouds FM, Diva the bawse ametoa kauli kupitia mtandao wa twitter ambayo imezua gumzo k... Continue Reading
Kwa Upuuzi Huu Nitaendelea Kuwasifu Mahausigeli Wanaovunja Ndoa za Watu! Mina Ashelly 11:10:00 PM Kila siku na kila mahala ukipita au ukibahatika tu kukutana na akina Dada na akina Mama waliopo katika Ndoa au hata Mahusiano tu ' law... Continue Reading
Diamond Afunguka Kuhusu Ukimya wa Rich Mavoko Mina Ashelly 11:09:00 PM Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa ukimya wa Rich Mavoko unatokana na msanii huyo kujipanga na kazi zake mwenyewe na kudai ... Continue Reading
Hamisa Mobetto Afunguka Kuhusu Tetesi za Bifu Lake na Zari Hassan Mina Ashelly 12:29:00 AM Hamisa Mobetto amefunguka juu ya mahusiano yake na first lady wa Madale, Zari The Bosslady baada ya tetesi za kutoka na Diamond. Mrembo hu... Continue Reading
Nyumba ya Diamond yamtoa povu H Baba ‘unapost nyumba kwa kuwa AliKiba kapost yake’ Mina Ashelly 1:03:00 AM Jumanne hii katika mitandao ya kijamii kulikuwa na majibizano kati ya mashabiki wa Diamond na AliKiba baada ya Diamond Platnumz kupost ki... Continue Reading
Faiza Ally Awaponda Wasanii wa Bongo, Asema Wanawake Watalalwa Wakizeeka Wataachia Wenzao. Mina Ashelly 9:25:00 PM Msanii wa filamu Tanzania, Faiza Ally amefunguka kuhusiana na mwenendo wa tasnia ya Bongo Movie inayoendelea kwa sasa. Kupitia mtandao wa... Continue Reading
Bifu ya Gigy Money na Amber Lulu Yachukua Sura Mpya...!! Mina Ashelly 9:24:00 PM Ma-video queen wasumbufu Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wapo kwenye vita baridi (vita ya maneno) kufuati... Continue Reading
Jibu la Martin Kadinda baada ya kuulizwa na shabiki kama Wema anatumia Madawa ya kulevya Mina Ashelly 10:14:00 PM Kuanzia wiki iliyopita kumekuwa na tetesi ambazo zinasambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba malkia wa filamu, Wema Sep... Continue Reading
Kajala asema yupo tayari kuzaa tena na mwanaume wa namna hii Mina Ashelly 10:13:00 PM Malkia wa filamu Kajala Masanja amefunguka kwa kusema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili wa kiume huku akiweka wazi aina ya mwanaume a... Continue Reading
Diamond Akiri Mimba Ya Mobeto Kuharibika Mina Ashelly 9:19:00 PM BAADA ya ukimya wa muda mrefu kutawala kuhusu ujauzito alionao mrembo anayesumbua Bongo, Hamisa Mobeto, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibuka ... Continue Reading
Kidoa Adai 'Anayenitaka Anifuate na Mabunda Yakutosha' Mina Ashelly 12:42:00 PM Staa anayepamba video za wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva a.k.a Video Queen, Asha Salum ‘Kidoa’ amefunguka kuwa malipo kidogo anayopata... Continue Reading
Jinsi ya Kumtuliza Mumeo Asitoke Weekend Mina Ashelly 11:07:00 PM Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani ... Continue Reading
Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni... Mina Ashelly 10:37:00 PM Bwana Yesu asifiwe!!! Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi. Napenda k... Continue Reading
Mama Diamond ampongeza Wema kwenye birthday yake baada ya kumkaushia Zari Mina Ashelly 10:53:00 PM Mama Diamond, Bi Sandra, amemtonesha mchumba wa mwanae, Zari pale panapomuuma zaidi. Amempongeza ex wa Diamond, Wema Sepetu katika bi... Continue Reading
AliKiba ‘alinimind’ sana baada ya kuzagaa taarifa kwamba nipo tayari kwenda WCB – Abdul Kiba Mina Ashelly 9:49:00 PM Miezi michache iliyopita Abdul Kiba ambaye ni mdogo wake na AliKiba alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari kwamba yupo tayari kujiunga n... Continue Reading
Zari asherehekea Birthday yake visiwani Zanzibar Mina Ashelly 12:14:00 PM Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa k... Continue Reading
Mpenzi wa Ben Pol afunguka yake baada ya mpenzi wake, Ben Pol kuonekana kwenye picha akibusiana na Snura Mina Ashelly 12:11:00 PM Latifa Mohamed aka Queen Tipha amefunguka baada ya kusambaa mitandaoni picha za mzazi mwenzake, Ben Pol akionekana wakibusiana na Snura ... Continue Reading
Idris Sultan Awatupia Matani Diamond na Zari Mina Ashelly 12:08:00 PM Kama huwezi utani basi jiweke mbali na Idris Sultan kwa kuwa ipo siku unaweza kujikuta ukifanya kitu usichokitarajia . Mchekeshaji hu... Continue Reading
Picha: Birthday ya Zari yaingia na neema, Diamond aonyesha nyumba ya familia aliyonunua SAUZ Mina Ashelly 11:10:00 PM Mkali wa muziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz Alhamisi hii siku moja kabla ya birthday ya mama watoto wake Zari, a... Continue Reading