Mtoto aliyepandikizwa betri moyoni afariki dunia Mina Ashelly 4:37:00 AM Mtoto Happiness Josephat (6) aliyefanyiwa upasuaji wa kupandikiza betri moyoni katika Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), a... Continue Reading
Taarifa ya Mamlaka ya Dawa na Chakula TFDA kuhusu Dawa bandia zilizokamatwa Mina Ashelly 2:05:00 AM Na Ally Daud-Maelezo MADAWA bandia na yasiyo sahihi kwa matumizi ya binadamu yamekamatwa maeneo ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu K... Continue Reading
Wizara ya Afya imeyataja makundi yaliyoko hatarini kuambukizwa VVU nchini Mina Ashelly 11:29:00 PM October 27, 2016 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kwa Waziri mwenye dhamana Ummy Mwalimu, imetoa tamk... Continue Reading
Dk Slaa Aibuka Ugomvi wa Godbless Lema na RC Gambo.......Huu Hapa ni Ujumbe Wake Mina Ashelly 4:45:00 AM Ugomvi wa maneno kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema limemuibua katibu Mkuu wa zamani w... Continue Reading
Serikali Yatenga Bilioni 70 kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa nchini. Mina Ashelly 9:57:00 PM Serikali imesema imetenga jumla ya shilingi bilioni 70 kwa ajili ya kununua dawa na vifaa tiba ili kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa nc... Continue Reading
Nauli za daladala kuanza kulipwa kielektroniki kuanzia mwakani ili kubaini mapato halisi katika sekta hiyo Mina Ashelly 10:27:00 PM Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ukataji wa tiketi za mabasi na daladala kwa ... Continue Reading
UVCCM Wamtembelea Majeruhi Aliyetobolewa Macho na Scorpion.....Wataka Jeshi la Polisi Liyabane Majambazi Mina Ashelly 12:23:00 AM UMOJA wa Vjana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umelihimiza Jeshi la polisi nchini kutambua kuwa ujambazi, wizi wa kutumia silaha na upora... Continue Reading
Utafiti wadai mtu mmoja kati ya wanne ni kichaa, Wizara yaeleza sababu Mina Ashelly 5:23:00 AM WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Ummy Mwalimu amesema utafiti unaonesha kuwa kwa kila watu wanne duniani, mm... Continue Reading
Taarifa Kwa Wataalamu Wa Afya Wanaotarajia Kuanza Mafunzo Kwa Vintendo (Internship). Mina Ashelly 5:32:00 AM Continue Reading
Ray C aanza kurekodi wimbo wake mpya ‘Panya Road’ Mina Ashelly 2:44:00 AM Baada ya kuonekana kuanza kuwa na afya njema baada ya kupambana kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya, Ray C ameonekana kuanza ... Continue Reading
Taarifa Kwa Umma Kuaribika Kwa Mashine ya MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili Mina Ashelly 5:42:00 AM Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inapenda kuujulisha umma kwamba mashine ya MRI itasimama kwa muda kufanya kazi baada ya kuharibiika. Ma... Continue Reading